alphaigogo.com
Repost: Our humble beginnings! - alphaigogo.com
Sikutegemea kuweka hapa hii picha siku ya leo. Lakini nimeona moyo wangu umenisukuma kuweka basi ngoja nifanye kile kitu roho napenda! Hii picha tulipigia tukiwa kijijini Utegi, Rorya, Mara mwaka 1987. Tulienda kusherekea siku kuu ya Christmas. Katika hii picha kuna watu wawili ambao hawapo nasi tena. (1) aliyevaa sandals nyeupe. Yeye alikuwa mama yangu mkubwa mke wa marehemu baba yangu
Alpha Igogo