alphaigogo.com
Repost: Mama mzazi birthday wishes - alphaigogo.com
Siku ya JumaTano ya tarehe 27, July ilikuwa ni siku ya kuzaliwa mama yangu mzazi (hapo kati). Hakuna sherehe yeyote aliyo fanya zaidi ya kula chakula cha jioni na familia yake na kumshukuru Mungu kwa kumpa nafasi ya kuona mwaka mpya!.......Nami nasema asante Mungu Baba wa Mbinguni kwa uhai unao mpatia mama yangu. Lihimidiwe jina lako milele zote!...... Keki hiyo
Alpha Igogo