alphaigogo.com
RIO 2016: Hongera sana Alphonce Felix Simbu - alphaigogo.com
Hongera sana Alphonce Simbu kwa kushinda nafasi ya 5 katika marathon! Asante sana kutuwakilisha vyema katika 2016 Olympic Tanzania imezidi kung'aa katika ramani ya dunia! Tunakuombea afya njema ili mashindano yajayo ukatwae taji la ushindi mkuu! Hongera sana! https://youtu.be/PSAbTYg6Yb0
Alpha Igogo