alphaigogo.com
RIO 2016 – Hongera sana Magdalena and Hemed - alphaigogo.com
Awii! Inapendeza kwakweli! Asanteni sana ndugu zetu Magdalena Moshi na Hemed Hilal kwa kututoa kimaso maso! Umeingarisha bendera ya nchi yetu, mbarikiwe sana! Mungu azidi kuibariki Tanzania, umoja na amani vidumu ndani ya nchi yetu ili next Olympic tutwae taji la ushindi! Congrats Magdalena and Hemed without forgetting the coach. Job is well done!
Alpha Igogo