alphaigogo.com
Sasha Obama akibeba “box” - alphaigogo.com
Sasha Obama akifanya kibarua chake wakati huu wa Summer break. Pamoja yakuwa yeye ni mtoto wa Rais lakini hajaona shida au haya kuwa na kibarua kwani anataka ku experience maisha kama watoto wengine wa umri wake wanavyo ishi hapa Marekani japo yeye hana shida ya pesa kama wengi. Ni mfano mzuri sana wa kuigwa haswa kwa watoto wa matajiri..............Mwaka juzi
Alpha Igogo