alphaigogo.com
Say no to violence against women! /Kemea unyanyasaji dhidi ya wanawake - alphaigogo.com
Leo siku ya kupiga vita dhidi ya unyanyasaji wa waina yoyote ile juu ya wanawake! .....Naamini watu wengi wanafikiria kupiga mwanamke ndio unyanyasaji pekee unao tambulika. Hapana! kupiga wanawake ni tatizo sugu sana Africa ndio maana unalisikia mara kwa mara. Na pia nitatizo ambalo watu wengi wako na hiyaria au comfortable kulizungumza hadharani! Lakini ukweli kuna unyanyasaji wa aina nyingi
Alpha Igogo