alphaigogo.com
Seduce Me imeleta “kizaazaa” kwenye send-off! - alphaigogo.com
Wimbo wa #SeduceMe umependwa na wengi katika kila kona ya hii dunia. Na sasa mabibi harusi watarajiwa wanautumia katika send-off party zao kama unavyomuona huyo bibi harusi mtarajiwa akiingia ukumbini kwa madaha mengi akionyesha furaha yake huku akim-seduce bwana harusi mtarajiwa kwa kucheza kwa hisia zote! Yani huyu dada kautendea haki huu wimbo, natamani ingekuwa ndio video yenyewe ya huu
Alpha Igogo