alphaigogo.com
Shukran zangu za dhati kwa Bin Zubeiry! - alphaigogo.com
Katika watu ambao nitaendelea kuwashukuru siku ni pamoja na huyu kaka yangu Bin Zubeiry. Ni mmoja ya watu walio jitolea kwa moyo mmoja kufanya mahojiano mimi! Nasema asante sana nakutakia siku kuu njema, ubarikiwe siku zote! .......... kuona mahojiano hayo bonyeza ? ..... #BinZubeiry
Alpha Igogo