alphaigogo.com
Shukuru kwa ulicho nacho sasa ndipo utabarikiwa zaidi! - alphaigogo.com
Jifunze kushukuru kwa ulicho nacho kwanza ndipo utabarikiwa zaidi! Sasa kuna watu ambao hata kile kidogo walicho nacho hawalidhiki kutwa kujenga chuki na wengine bila sababu za msingi! Hawa watu wasio ridhika ndio unakuta hata awe na pesa na mali kiasi gani lakini HANA AMANI NDANI YA ROHO YAKE!! Yani akikuta hata watu wasio na uwezo kifedha na mali (masikini)
Alpha Igogo