alphaigogo.com
Si vibaya kuanza upya-Dina Marios - alphaigogo.com
Wakati na join Efm @efm_93.7 nilipata support ya watu wengi na pia nakumbuka watu wengi zaidi walinicheka na kunong'onezana amepotea, amefulia ni ndio basi tena. Ametoka radio inasikika mikoa mingi Tanzania kaenda karedio kidogo kanasikika Dar tu na Pwani. Na inawezekana hadi leo bado wanacheka na kuponda. Kwenye list zilikuwepo radio kubwa tu zilizopenda kufanya kazi na mimi. Kwa hali niliyokuwa nayo
Alpha Igogo