alphaigogo.com
SIASA NA DEMOKRASIA YA KENYA….. TUNAJIFUNZA NINI KATIKA MIFUMO YAO??-Peter Sarungi - alphaigogo.com
Taarifa zinaonesha kuwa kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati, Jamhuri ya watu wa Kenya ndio nchi ambayo ina mifumo inayo tekeleza Siasa huru na Demokrasia ya kiwango kizuri ukilinganishs na nchi zingine katika ukanda huo. Pamoja na kuwepo kwa Siasa za Ukanda na Makabila kwa muda mrefu lakini bado siasa zao zimekuwa ni za mfano kupita zetu za Tanzania. Je, tunajifunza
Alpha Igogo