alphaigogo.com
Sijawahi sema, usiamini mtu! - alphaigogo.com
Wapendwa kuna mtu kani email kuniomba nimuajiri yeye kama msemaji wangu wa public (PR)! Nikamuuliza kwanini anafikiria mimi nahitaji kuwa na msemaji wa public? Akasema mbona watu wanasema unatafuta??? Nimecheka sana!! Jamani, usiamini kila kitu unachokisikia midomoni mwa watu! Mimi kama ningekuwa nahitaji PR ningeweka tangazo hapa kwa blog! Halafu PR anifanyie kazi gani Wallah! Hii hii ya ku-blog ambayo
Alpha Igogo