alphaigogo.com
Siku ya haki za binadamu duniani: “Tuanze kusafisha nyumba zetu kwanza”-Mh. Samia Suluhu Hassan - alphaigogo.com
Leo ilikuwa siku ya haki za binadamu duniani ambapo kitaifa kwa Tanzania yamefanyika katika viwanya vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam na mgeni rasmi alikuwa Mh. Samia Suluhu Hassan! Ujumbe wake kwa taifa amesema kuwa tuanze kwa kusafisha nyumba zetu kwanza hivyo kuondoa wala rushwa, watumishi hewa, n.k ni LAZIMA!!.......... Hata mimi naungana na mama yetu kuwa tusafishe kwanza
Alpha Igogo