alphaigogo.com
Siku zote vaa viatu kulingana na miguu yako! - alphaigogo.com
Siku zote hakikisha unavaa viatu vinavyo kutosha! Usivae viatu vikubwa kuliko miguu yako ili nawe upendeke na wenye miguu mikubwa! Na usivae viatu vidogo kuliko miguu yako ili tu ufurahushe wenye miguu midogo! Na kamwe, usitembee bila viatu ili tu ukubalike na wanao penda kutembea peku peku! Maisha ni mafupi sana lakini safari yake ni ndefu ambayo barabara yake haijulikani wapi
Alpha Igogo