alphaigogo.com
“SIMAMA KATIKA NAFASI YAKO, MUNGU ANAMAKUSUDI NA WEWE” - alphaigogo.com
SIMAMA KATIKA NAFASI YAKO, MUNGU ANAMAKUSUDI NA WEWE Ni wewe pekee mwenye kujua magumu unayoyapitia na uzito wa changamoto unazokumbana nazo katika maisha. Ni wewe pekee mwenye maelazo na lugha sahihi ya kumueleza Mungu juu ya shida zako, usikatishwe tamaa. Usinyamazishwe na watu ambao hawajui historia yako, hawajui shida yako, hawajui maumivu yako, na hawajawahi kuyapitia magumu yanayokusonga wala mazingira yako. Ilikua rahisi
Alpha Igogo