alphaigogo.com
SIMBA ANAPO LAZIMISHWA KULA MIWA. -Peter Sarungi - alphaigogo.com
Utani wa jadi huwa una raha na karaha zake. Ushindi wa timu yangu Yanga jana haukunishawishi kuandika chochoye juu yao maana naijua timu yangu hasa katika dakika za lala salama kama hizi. Lakini kufungwa kwa watani zangu Simba kumenishawishi kuandika post hii japo kuwasabahi kwa ushindani wao. Moja ya uchawi katika soka ni historia. Hata makampuni ya bahati nasibu (kubeti) huwa wanatumia
Alpha Igogo