alphaigogo.com
Sir. O.O Igogo: Uwaminifu na huruma ni nguzo kuu ya maisha, zingatia. - alphaigogo.com
Leo nimepewa somo na Sir O.O Igogo kuwa uwaminifu na huruma ni nguzo kuu ya maisha, hivyo nizingatie! Aliyasema hayo baada ya kunitumia picha ya aliyekuwa mke wa mmoja wa fundi wetu marehemu Tyson. Mke wa Tyson alitokwa na machozi baada ya kukabidhiwa fedha ambazo ziligundulika kuwa zilikuwa hazijamaliziwa kulipwa katika kazi ya ujenzi wa ukuta wa nyumbani kwetu ambayo marehemu
Alpha Igogo