alphaigogo.com
Sister sister - alphaigogo.com
Raha sana madada wakipendana na kufurahia mafanikio ya mwingine bila kinyongo chochote. Ndugu mnatakiwa kupendana kwa dhati kama hawa dada zangu, mnasaidiana, na kutiana moyo. Shida ya nduguyo ni yako, na furaha ya nduguyo ni yako! Wajaluo wana msemo mmoja ambao maana yake ni kuwa; 'ndugu ndiyo anatakiwa afiche aibu ya ndugu yake. Kwani aibu ya ndugu yako ni yako'!....
Alpha Igogo