alphaigogo.com
??SOMA HII ITAKUSAIDIA SANA MDADA??JIFUNZE EWE MWANAMKE - alphaigogo.com
Usikimbilie kuhama na kuondoka nyumbani kwa wazazi wako kabla hujajipanga vizuri Usimsubiri mwanaume ndio uanze maisha, unaweza ukaishi maisha yako mwenyewe na ukaweka msingi mzuri utakaokusaidia huko baadae. Kaa mbali na marafiki waovu, jifunze kuheshimu kila mtu kuwa na busara na vaa mavazi ya heshima. Usimchekee chekee kila mwanaume, kwa maana wengine sio waoaji ni chui waliojivika ngozi ya kondoo! Ni bora ukaendelea
Alpha Igogo