alphaigogo.com
Stand-up comedy ni sanaa kama zilivyo sanaa nyingine-Jokate Mwegelo - alphaigogo.com
Beautiful! Umependeza mno Jokate wetu! That dress is WOW!!…………Ulichosema ni cha kweli kabisa. Hichi kipaji siyo cha kukidharau hata kidogo kwanza lazima uwe na akili shap sana ili uweze kuwa comedian mzuri. Yani lazima uwe na uwezo wakuona na kutengeza joke papo kwa papo. Pia ni sanaa ambazo zinahitaji maandalizi na nidhamu sana kama zilivyo muziki na mpiraa n.k ili uweze kuburudisha,
Alpha Igogo