alphaigogo.com
Subalkheri mpenzi waonaje hali yako? Sabaihauri lazizi hali yangu Kama yako! - alphaigogo.com
????Subalkheri mpenzi waonaje hali yako? Sabaihauri lazizi hali yangu kama yako! Waonaji wazazi nyumbani utokeapo? Kawanusuru mwenyezi hofu yao juu yako!!???? https://youtu.be/Xoly5kqCnL8 Mimi siyo mpenzi wa taharabu kivile, nasikiliza kama nimekuta mwenye radio anasikiliza lakini mimi kama mimi kwakweli huwa si sikilizagi! Sijasema kuwa taharabu ni mziki mbaya hapana! Mimi ndio siyo mpenzi wa taharabu! Hata hivyo Kuna baadhi ya nyimbo za
Alpha Igogo