alphaigogo.com
Swahili restaurant / village - alphaigogo.com
Mwezi ulio pita nilipo kuwa Maryland state, kaka zangu Mr. President (Iddi Sandaly) na Dj Luke walinilipeleka kula kwenye mgahawa ujulikanao kama Swahili Village au Swahili restaurant....... Yani chakula chao nikitamu sanaaaaaa! Kwakweli I was shocked kuwa kuna wakenya wanajua kupika vyakula vitamu namna hii! Hongereni sana shemeji zangu (mdogo wangu kaolewa na mkeyee).......... Kwakweli chakula chenu nikitamu sana ila mboreshe upande
Alpha Igogo