alphaigogo.com
“Taa nyekundu ya mwanadamu si ya MUNGU hicho ndicho ninacho amini”-Loveness Goodluck - alphaigogo.com
Tarehe 18-10-2014 Hakika ni cku iliyokuwa mbaya maishani mwangu ila ubaya huo ulichukua muda mchache sana na kisha ikageuka kuwa siku yakupokea muujiza wangu Ilikuwa ni siku ya Jmosi majira ya jioni, nilikwenda kumsalimu shangazi yangu aliekuwa amelazwa ktk hospitali ya K.C.M.C. Nikiwa pale ghafla simu yangu iliita nami nikaipoke alikuwa ni mdogo angu, aliniulza dada uko wapi? nikamjibu nipo hosptalini bado,
Alpha Igogo