alphaigogo.com
TAFAKURI YA LEO JUU YA WABUNGE WA CCM.- Peter Sarungi - alphaigogo.com
Tabia ya wana siasa kabla ya kuwa watawala ni kama tabia za wachumba ambao bado hawajafunga ndoa. Tabia yao kuu ni kuhaidiana mazuri, kusifiana, kuelekezana kwa lugha ya kuvutia, kutiana moyo, kuoneshaana upendo wa agape lakini pia kuna tabia moja mbaya ya walioyo nayo ya kuficha udhaifu wao na mabaya yao. Kila inapoitwa leo, napata fursa ya kujua tabia za mkuu
Alpha Igogo