alphaigogo.com
Tanzania! Tanzania! Nakupenda kwa moyo wote! - alphaigogo.com
Wapendwa wasomaji wamgu ambao wengi najua ni Watanzania. Kuna hii campaign ya kuitangaza Tanzania kwa siku 30. Naona watu wengi wameipenda na wanaweka picha na videos nyingi zinazo onyesha uzuri wa Tanzania. Hizi ni baadhi tuu ya picha. Sasa basi nami naungana nao kwa kundoa Tangazo la Halotel kwa siku 60 kuanzia leo mpaka tarehe 04 / 05 / 2016.
Alpha Igogo