alphaigogo.com
Tanzania Vs Marekani - alphaigogo.com
Nilikutana na huu ? mjadala huko Facebook nikaona ni share nanyi...............Kitu ambacho huwa sielewagi ni kwanini baadhi ya Watanzania wanapenda kuilinganisha Tanzania na Marekani inapofika kwenye swala la maendeleo ya miundo mbinu na siasa? Hivi hamjui kuwa Marekani hawakutumia jasho lao kuijenga hii nch?! Marekani ilijengwa kwa nguvu ya watumwa! Watumwa walimwaga damu na jasho lao lilibubujika kuijenga hii Marekani
Alpha Igogo