alphaigogo.com
Tanzia: DMV na California - alphaigogo.com
DMV NA CALIFORNIA Kwa niaba ya familia ya Kaka Adam Tenga na Dada Aziza Mitchum ; tunasikitika kutangaza kifo cha Mama yao Aunt Nuru kilichotokea March 27, 2016 huko San Fransisco , California. Taratibu za kusafirisha Mwili wa Mareheme kwa mazishi kwenda Tanzania zinaendelea. Tunaombwa tushirikiane na ndugu zetu na familia kwenye kuchangia na kukamilisha gharama za kumsafirisha marehemu
Alpha Igogo