alphaigogo.com
Tanzia: R.I.P Hon. Beatrice Shelukindo - alphaigogo.com
Taarifa ya Msiba Familia ya Bwana William H. Shelukindo, Inasikitika kutangaza kifo cha Bibi Beatrice Matumbo Shelukindo kilichotokea siku ya Jumamosi 2/7/2016 huko Arusha. Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu 8 Galu Street,Ada Estate, Dar es salaam na huko Arusha. Mazishi yatafanyika siku ya Jumatano Tarehe 6/07/2016 alasiri Mjini Arusha. Bwana ametoa Bwana, ametoa Jina la Bwana lihimidiwe. Poleni sana wana familia, ndugu, jamaa,
Alpha Igogo