alphaigogo.com
Taste of Tanzania - alphaigogo.com
Haya kwawale mnaopenda mapocho pocho na kukaangiza kitabu hicho apo kwa ajili yenu wote mnao taka ongeza ujizu na mnao jifunza kama akina sisi hapa ?? honestly Chapati za kusukuma nikitu kimenishinda kabisa aaaa! Nimejaribu mpaka nimenawa mikono ?? Mimi na mdogo wangu Magreth ndio nyumbani kwetu hatujui kupika chapati za kusukuma ?? Pia kukata na kusukuma Samosa napo ni
Alpha Igogo