alphaigogo.com
TAUS retreat, July 12 – 16, 2017 - alphaigogo.com
Nawasalimu wote katika jina la Bwana! ....... Naomba uweke hii event kwa calendar yako ya mwaka huu! Never too late for spiritual revival so please add it! Ni TAUS retreat itakayofanyika tarehe July 12 -16, 2017 huko Wisconsin, U.S.A! Hii ni retreat ambayo inafanyika kila mwaka na huwa inaandaliwa na umoja wa Tanzania wa dhehebu la Wasabato hapa Marekani (TAUS)
Alpha Igogo