alphaigogo.com
Tazama unapokwenda lakini kumbuka uliko toka - alphaigogo.com
Wengi toka tumemaliza shule achilia mbali kusema asante kwa walimu wetu, wengi hatujawahi kurudi hata kuchungulia mjengo ya shule tulipo somea. Asante kwa watu kama Miriam Odemba ambao kwa njia moja au nyingine wanatukumbusha kuwa ni vizuri tutazame tunapokwenda lakini ni vizuri zaidi kutosahau tulipo toka.
Alpha Igogo