alphaigogo.com
#TBS# Linda Bezuidenhout (LB) - alphaigogo.com
Leo nimeamua ku Throwback video za interview ambazo nilifanya na mwanamitindo wa kimataifa Ms. Linda Bezuidenhout mnamo mwezi wa pili mwaka huu 2015! https://youtu.be/7tmJgxbmB1A Hapo juu ? nisehemu ya kwanza ya mahojiano. Na hapa chini ? nisehemu ya pili au ya mwisho ya mahojiano yetu. Haya yalikuwa ni mahojiano yangu ya kwanza kabisa kufanya huku nikirekodiwa. Nilipewa hii nafasi ghafla, yani nilijua
Alpha Igogo