alphaigogo.com
#TBS - alphaigogo.com
Haya kwakua tuanakaribia kumuaga na kumkaribisha Rais wetu mpya Dr. John Pombe Magufuli basi nimeona si mbaya kutupia hizi picha humu :) :) Ni kahistoria fulani kaliwekwa huko siku za nyuma na sidhani kama kuna mtu mwingine halishawahi fanya hivi tena 😆 baba na mwana kumiliki jukwaa kwa mara moja :) kwenye fundraising dinner ...... Kila la kheri Rais Kikwete kwa hiyo
Alpha Igogo