alphaigogo.com
Tegemeo Sambili: Ili tuendelee kwa haraka na watu wayaone maendeleo, nashauri tuongeze nguvu kwenye yafuatayo:- - alphaigogo.com
Moja ya Makosa tunayoyafanya ni Kutaka Kuendelea kama Walivyoendelea Wajeruman, Wamarekan, China, France....... Kwa Upande wangu, Maendeleo yanaanza kwa Kula vizuri, Kulala vizuri, Kuvaa vizuri na kuwa na Afya njema. Ili tuendelee kwa Haraka na Watu Wayaone Maendeleo, nashauri tuongeze nguvu kwenye Yafuatayo:- 1. Kilimo Tulime sana kiasi cha kuwawezesha Watanzania kupata Chakula bora na cha kutosha. Nataman kuona Chakula kinakuwa
Alpha Igogo