alphaigogo.com
THANKS TO OUR EXCELLENCE PRESIDENT DR, JPM!!- Richard Mbilinyi - alphaigogo.com
THANKS TO OUR EXCELLENCE PRESIDENT DR, JPM!!!!!!!, Nianze kumshukuru mheshiimiwa Rais Dr John Magufuli kwakuweza kuonyesha misimamo ya wazi kabisa katika kusimamia kile anachokiamini katika kuongoza nchi. Mambo muhimu Mheshimiwa rais kayaamua katika kufikia malengo yake na ambayo binafsi yamenifurahisha na imani yangu hata watanzania ni haya yafuatayo;- 1. Kuamua Kodi ya Majengo ikusanywe na mamlaka ya mapato (TRA) Msimamo dhabiti wa mheshimiwa
Alpha Igogo