alphaigogo.com
Wimbo nilio upenda zaidi mwaka huu 2015 #Utanipenda? - alphaigogo.com
Nimeusikiliza huu wimbo zaidi ya mara 20, believe me! wimbo huu una ujumbe mzito sana ambao mtu yeyote yule anayekaa chini na kutafakari vitu haswa watu walio kuzunguka lazima utakuliza! Very touchy song with a Billion $$ question #Utanipenda? Nakuletea behind the scene za wimbo huu na wimbo wenyewe angalia na tafakari sana tunapo malizia mwaka huu na ufanye maamuzi
Alpha Igogo