alphaigogo.com
The faces! - alphaigogo.com
HoyceTemu: kapendeza sana na natural look. Napenda sana watu wanaoweza kupaka makeup ya wastani na wakapendeza bila kupoteza their natural lookWema Sepetu: Nimependa sana nywele zake na makeup imemkaa vizuri yani kawa natural. Nafikiri hii nguo za Blue color huwa zinamvuto sana kwa Wema. Nikiangalia picha zake nyingi alizovaa hii color naona ni nzuri zaidi Jackline Ntuyabaliwe: simple as always. Kapendeza
Alpha Igogo