alphaigogo.com
The Kakoschkes’ - alphaigogo.com
Kwanza nianze kwa kusema happy belated birthday baba Amika. Mr Kakoschke alisherekea birthday yake siku chache zilizopita. Alixungwa na familia yake ambao anawapenda sana na yeye anawapenda sana. Naona Malaika yeye kajichokea na kujilaza kabisa. Hapa walikuwa ndani ya treni wakielekea sijui wapi, nimesahau ?? Hawa watu wanasafiri sana. Wanapenda kusafiri na all outdoor adventures. Tembelea blog yao kuona picha nyingi
Alpha Igogo