alphaigogo.com
The Lyimos - alphaigogo.com
Familia ya Lyimo katika mapumziko nchini Canada. Jamani kazi na dawa eeh! Si mmeona hata Dr. Magufuli kaenda vacation Chato ?? ndio maana yake! Mtu ukisha fanya kazi sana sharti upumzishe mwili na akili. Pia ndo muda muafa wa ku spend quality time na familia. Mjifunze jamani kutoka kwa wenzenu, family is everything! Hapana chezea musichana toka kanda ya ziwa wee! Kitu
Alpha Igogo