alphaigogo.com
The Mbunas - alphaigogo.com
Mama Mbuna ndani ya jiko lake. Mwanamke jiko jamani, si mnamuona mama yetu hapa akipikia familia yake. #NaniKamaMama ubarikiwe sana mama Mbuna. Biriani ya nguvu, kuku wa kienyeji awwih!...... sasa mjaluo mie mmh! Itabidi niende kwa mama Mbuna kujifunza kupika biriani ??? Oh! NO! Nimesahau yule Muhaya anakula matoke ??Tabasamu lenye furaha ya kutoka moyoni. Akifurahia na kumshukuru Mungu kwa kuwalinda na
Alpha Igogo