alphaigogo.com
“TIT FOR TAT” YA LEMA YAWEZA SAIDIA UPINZANI KUWA IMARA? – Peter Sarungi - alphaigogo.com
Andiko langu lililopita nilijaribu kuwatahadharisha Upinzani juu ya kupooza kwao katika siasa za sasa. Niliwakumbusha na kuwa sihii wabadili mbinu na mikakati yao juu ya kuendesha siasa zao na hata kuleta maendeleo kwa wananchi walio wachagua. Leo nimeona video inayomuonesha G.Lema (MB) mbunge wa Arusha akitoa msimamo juu ya kadhia aliyoipata kutoka kwa Mkuu wake wa mkoa RC M.Gambo akisema:
Alpha Igogo