alphaigogo.com
Tuishi maisha yetu lakini tuwe na mipango endelevu ili majina yetu yasisahaulike! - alphaigogo.com
https://youtu.be/UadnKb4CE8g Elimu juu ya maisha sio lazima ujifunze kutoka kwako au kwa wazazi wako. Muda mwingine unaweza jifunza kitu kikubwa ambacho kitabadilisha mwenendo wako au mtazamo wako wa maisha, jinsi unavyo tafakari mambo, na jinsi unavyo fanya maamuzi toka kwa marafiki au a total stranger!. Sasa Steve Harvey alijifunza kuwa njia pekee ya wajukuu na vitukuu wake kumkumbuka na kujua jina
Alpha Igogo