alphaigogo.com
“Tulinde na kutetea haki za makundi mbalimbali kwenye jamii yetu”-Jokate Mwegelo - alphaigogo.com
Asante mrembo wetu kwa kutukumbusha hili swala la kuwatetea na kuwalinda wasio na watetezi! Binafsi siyo kwamba najisifia lakini nimejikuta nikifanya hivyo bila hata ya kumjua mtu huyo najikuta nimesha vaa viatu vya muhusika na kuanza kumpigania! Sipendi watu wanao onea wenzao bila sababu ya msingi! Kama yule Muhaya Ruge wa Clouds FM na loser wake walivyo muonea Lady Jadee
Alpha Igogo