alphaigogo.com
Tumerudi hewani! - alphaigogo.com
Wapendwa wasomaji wangu, naomba mnisamehe sana tena sana kwa usumbufu uliotokea. Ilikuwa nje ya uwezo wangu, kwani damage iliyofanywa ilikuwa ni kubwa sana. Hackers wali hack my database na kuishambulia kisawa sawa! Hivyo shughuli yake ilikuwa ni pevu kwani sikutaka kupoteza hata kumbu kumbu moja! Nashukuru Mungu kwani kila kitu kimerudi kama kilivyokuwa hapo mwanzo. Nawashukuru sana Godaddy.com pamoja na
Alpha Igogo