alphaigogo.com
Tunakuombea upone haraka na urudi nyumbani kaka Andrew Sanga! - alphaigogo.com
Binafsi simfahamu kabisa wala sijabahatika kukutana na Andrew Sanga. Lakini kama mwanadamu, Mtanzania mwana diaspora, na mwana jumuiya wa THC nimesikitishwa sana na kilichotokea kwa ndugu yetu Andrew. Pia nahuzunishwa sana na hali yake aliyonayo sasa. Naomba niungane na wana diaspora wenzangu, ndugu, jamaa, na marafiki katika maombi ya kuomba Mungu afanye miujiza yake ili ndugu yetu aweze kupona na
Alpha Igogo