alphaigogo.com
“Tupo kwa ajili ya kuliendeleza Taifa letu kwa faida liendelee mbele”- Innocent Mungy - alphaigogo.com
Kumekuwa na Mjadala kuhusu ndege Mpya za ATCL! Nimeikuta hii mahali na naweka hapa wengine nao waone! Nikiwa X-staff wa iliyokuwa ATC, ninaelewa! Wakati mwingine ni vizuri kujua hadi uamuzi unafikiwa watu wamefanya utafiti, hali halisi ya viwanja vyetu na sababu zipi kwa chaguo husika! BOEING VS BOMBARDIERKWANINI TUMENUNUA BOMBARDIER? Shirika letu la ndege lilikufa kwasababu ya kushindwa kujiendesha kutokana na gharama
Alpha Igogo