alphaigogo.com
“Tusikubali mama yetu Tanzania kusambaratika”- James Mbatia - alphaigogo.com
Tanzania kwanza, vyama nyuma! Tunahitaji democracy ndani ya Tanzania lakini amani yetu ni kipaumbele number moja! Simtetei Rais Magufuli hapana, lakini lazima tukubali kumpa nafasi ya kufanya kazi! Mfumo wa nchi ulikuwa umeoza, na yeye anataka kuubadilisha kwa kuanzia na nidhamu ya kazi na ufisadi. Basi haya mambo ya siasa kila kukicha yanazidi kuturudisha nyuma! ......... Mimi na Tanzania, wewe
Alpha Igogo