alphaigogo.com
Tuwapende na kuwaheshimu walimu wetu - alphaigogo.com
Kila mtu hapa dunia amejifunza kitu fulani kwa maana ya kuwa hakuna aliyezaliwa akijua kituchochote bali ni kwakujifunza. Mfumo ya kujifunza ipo ya aina mbili formal (mfumo rasmi) na informal (mfumo usio rasmi). Haijalishi ni mfumo gani umetumia kujifunza kwani yote lengo lake ni kutoa elimu. Na wale watu wanao tumika kutoa elimu wanaitwa walimu kwasababu wanakuelimisha. Labda nifafanue kidogo kwa
Alpha Igogo