alphaigogo.com
U.S.A Green Card Lottery: Jaribu bahati yako! - alphaigogo.com
Haya kwa wale wanaotaka kujaribu bahati zao za kupata Green Card ya Marekani na hatimaye kuwa raiya wa Marekani basi huu ndio wakati wako. Ni msimu wa lottery ambao unakujia kila mwaka (kama hawajabadilisha) mwezi kama huu. Unaweza cheza kila mwaka mpaka siku utakapo shinda. Kama unapenda basi ingia kwa mtandao wao kwa kuponyeza 'hapa' au copy link hiyo hapo
Alpha Igogo