Ubarikiwe sana kaka Tumaini Kajo!

Screenshot_2016-08-19-00-35-34-1FB_IMG_1469659269564Naomba niamini kuwa haya uyasemayo yanatoka ndani ya roho yako na ndivyo ulivyo! Na kama nikweli basi ubarikiwe sana! ……….. Siyo kwamba sikuamini bali kwa experience ambayo nimepitia na kuona, nimegundua kuwa watu wengi wanaojaribu kuweka a “positive” image kwenye public si wakweli na wala hiyo “image” haiendani na huwasilia wao! Na wengi haswa wanaume wanatafuta the weakest woman ambaye ata cover na ku protect their image ya kuwa ni mtu mwema kumbe sivyo! Sorry, I’ve seen a lot of abusive men and this has nothing to do with you! Naongea in general!………. Otherwise, ubarikiwe sana! Mabadiliko yanaanza na wewe!

Leave a Reply